Kisamre ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Kamboja inayozungumzwa na Wasamre. Mwaka wa 2000 idadi ya Wasamre imehesabiwa kuwa watu 200 lakini hakuna miongoni mwao waliweza kuongea Kisamre, yaani lugha imesahauliwa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisamre iko katika kundi la Kipeariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamre kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.