Kisamtao ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Myanmar, Laos na Uchina inayozungumzwa na Wablang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamtao nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 9550. Pia kuna wasemaji 3530 nchini Laos (2005) na 100 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisamtao iko katika kundi la Kipalaungiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamtao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.