Kisansi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wasansi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisansi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 60,000. Pia kuna wasemaji 16,200 nchini Pakistan (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisansi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisansi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.