Kisaraiki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wasaraiki. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kisaraiki nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu milioni ishirini. Pia kuna wasemaji 68,000 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisaraiki iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaraiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.