Kisavi (au Kisau) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan na Pakistan inayozungumzwa na Wasavi. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kisavi nchini Afghanistan imehesabiwa kuwa watu 3,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Pakistan. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisavi kiko katika kundi la Kidardiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisavi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.