Kisedang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wasedang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisedang nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 97,000. Pia kuna wasemaji 520 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisedang iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisedang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.