Kisemai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemai. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kisemai imehesabiwa kuwa watu 42,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemai iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisemai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.