Kisemelai ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemelai. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisemelai imehesabiwa kuwa watu 4100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemelai iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisemelai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.