Kisemnam ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemnam. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisemnam imehesabiwa kuwa watu 670 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemnam iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisemnam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.