Kisenoufo-Senara

Lugha ya Atlantiki-Kongo ya Burkina Faso na Mali

Kisenoufo-Senara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wasenoufo. Isichanganywe na Kisenoufo-Syenara nchini Mali ambayo ni lugha tofauti. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kisenara imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisenara iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Senara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.