Kisenoufo-Sicite

Lugha

Kisenoufo-Sicite ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wasenoufo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kisicite nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisicite iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Sicite kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.