Kisotho-Kaskazini
(Elekezwa kutoka Kisepedi)
Kisotho-Kaskazini (pia Kipedi) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasepedi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisotho-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisotho-Kaskazini
- lugha ya Kisotho-Kaskazini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nso
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |