Kishekhawati
Kishekhawati ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Washekhawati. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kishekhawati imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishekhawati iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kishekhawati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kishekhawati
- lugha ya Kishekhawati katika Glottolog
- lugha ya Kishekhawati kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishekhawati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |