Kisimani ilikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Tanzania, kwenye Bahari ya Hindi.

Ni eneo la kihistoria la kitaifa lililopo katika kata ya miburani kisiwa cha Mafia mkoa wa Pwani, wilaya ya Mafia. Ni magofu ya zamani zaidi ya Mafia, ambayo yako karibu na mji mkuu wa wilaya ya Kilindoni. Tabaka la mwanzo kabisa la misikiti, kulingana na mwanaakiolojia Neville Chittick ambaye alifanya uchimbaji huko katika miaka ya 1950, takriban karne ya kumi na kumi na moja.[1]

Tanbihi

hariri
  1. "Archaeology and History – Mafia Island". sites.gold.ac.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-03. Iliwekwa mnamo 2024-10-12.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisimani, Mafia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.