Kisiraya ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wasiraya. Hakuna Wasiraya siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kisiraya, yaani lugha yao imetoweka, ila kuna wazee wachache ambao wanakumbuka maneno machache. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisiraya iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisiraya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.