Kisiwa cha Olkokwa

Kisiwa cha Olkokwa ni kisiwa cha kaunti ya Baringo, nchini Kenya. Kina asili ya volikano na kimo cha mita 1,130 juu ya usawa wa bahari.

Kinapatikana katika ziwa Baringo, kikiwa kikubwa kuliko vyote vilivyomo.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri