Kisiwa cha Tumbatu
Kisiwa cha Tumbatu ni kati ya visiwa vya Wilaya ya Kaskazini A, mkoa wa Unguja Kaskazini, Zanzibar, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.
Historia
haririKulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Tumbatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |