Kisiwa cha Yambe ni kisiwa kikubwa kuliko vyote vya mkoa wa Tanga, nchini Tanzania, ambacho kinapatikana katika Bahari ya Hindi.

Kisiwa hicho kimo chini ya mamlaka ya Hifadhi ya Tanga Coelacanth Marine Park ambayo imo chini ya taasisi ya Tanzania Marine Parks and Reserves. Kisiwa hicho ni kati ya visiwa vyenye magofu ya historia ya Waswahili, ambayo bado kufukuliwa.[1][2]

Ni eneo linalotunzwa kutokana na upatikanaji wa mabaki ya kihistoria linalopatikana mashariki mwa mji wa Tanga katika wilaya ya Tanga, iliyopo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Eneo hili linapatikana ndani ya Tanga Coelacanth Marine Park (TCMP). Kisiwa hiki kinaongozwa na hifadhi ya bahari nchini Tanzania.[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. James De Vere Allen. “Swahili Architecture in the Later Middle Ages.” African Arts, vol. 7, no. 2, UCLA James S. Coleman African Studies Center, 1974, pp. 42–84, https://doi.org/10.2307/3334723.
  2. Allen, James De Vere (1974). "Swahili Architecture in the Later Middle Ages". African Arts 7 (2): 42–84. ISSN 0001-9933. doi:10.2307/3334723. 
  3. "Marine Parks | Marine Parks". www.marineparks.go.tz. Iliwekwa mnamo 2022-08-12. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Yambe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.