Kihumburi-Senni
(Elekezwa kutoka Kisonghay, Humburi Senni)
Kihumburi-Senni ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Burkina Faso na Mali inayozungumzwa na Wasonghay. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kihumburi-Senni nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Mali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihumburi-Senni iko katika kundi la Kisonghay.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihumburi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihumburi Ilihifadhiwa 16 Agosti 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihumburi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hmb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihumburi-Senni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |