Kisotho-Kusini
(Elekezwa kutoka Kisotho-Kusini (lugha))
Kisotho-Kusini ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasotho. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kusini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 4,240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kusini iko katika kundi la S30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisotho-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisotho-Kusini
- lugha ya Kisotho-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sot
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |