Kisuba (Kenya)
Kisuba ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wasuba. Isichanganywe na lugha ya Kisuba inayozungumzwa nchini Tanzania. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisuba imehesabiwa kuwa watu 139,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisuba-Simbiti iko katika kundi la E40.
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Ayot, Henry Okello. 1979. A history of the Luo-Abasuba of western Kenya from AD 1760-1940. Nairobi: Kenya Literature Bureau.
- Rottland, Franz; Okoth-Okombo, Duncan. 1992. Language shift among the Suba of Kenya. Katika: Language death: factual and theoretical explorations with special reference to East Africa (Contributions to the sociology of language, vol 64), uk.273-283. Kuhaririwa na Matthias Brenzinger. Berlin & New York: Mouton de Gruyter.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisuba (Kenya) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |