Kishubi

(Elekezwa kutoka Kisubi)

Kishubi (au Kisubi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Washubi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kishubi imehesabiwa kuwa watu 153,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kishubi iko katika kundi la D60.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni na Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. uk. ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Seidel, August. 1898. Grundzüge der Sprache von Usindja, mit Texten und einem Wörterverzeichniss. Zeitschrift für afrikanische und oceanische Sprachen, 4, uk. 151-178.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.