Kisuoy ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Kamboja inayozungumzwa na Wasuoy. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisuoy imehesabiwa kuwa watu 860. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisuoy iko katika kundi la Kipeariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisuoy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.