Kisylheti

Lugha ya Indo-Aryan inayozungumzwa nchini Sylhet

Kisylheti ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Wasylheti. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisylheti nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni tatu, na nchini Bangladesh kuna wasemaji milioni saba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisylheti iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisylheti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.