Kitadaksahak ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Mali inayozungumzwa na Wasonghay. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitadaksahak imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji takriban 1000 nchini Algeria, na wengine ambao huhamiahamia kutoka Mali kuingia nchi ya Niger kwa muda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitadaksahak iko katika kundi la Kisonghay.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitadaksahak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.