Kitagalaka
lugha ya asili ya Australia
Kitagalaka ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Watagalaka katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2005, kulikuwa na msemaji mmoja wa Kitagalaka tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagalaka kiko katika kundi la Kipaman.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitagalaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitagalaka
- lugha ya Kitagalaka katika Glottolog
- lugha ya Kitagalaka katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitagalaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |