Kitamasheq
Kitamasheq ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Mali na Burkina Faso inayozungumzwa na Waberber. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitamasheq nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 250,000. Pia kuna wasemaji 31,200 nchini Burkina na wengine nchini Algeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitamasheq iko katika kundi la Kiberber.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitamasheq kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitamasheq
- lugha ya Kitamasheq katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/taq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitamasheq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |