Kitandia ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Watandia kwenye kisiwa cha Papua. Siku hizi hakuna watu wanaotumia lugha ya Kitandia kama lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitandia iko katika kundi la Kicenderawasih.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitandia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.