Kitausug
Kitausug (pia Kisulu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino, Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Watausug kwenye visiwa vya Palawan, Basilan na Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitausug imehesabiwa kuwa watu 900,000 nchini Ufilipino na watu 150,000 nchini Malaysia. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Indonesia (1981) Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitausug iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitausug kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitausug
- lugha ya Kitausug katika Glottolog
- lugha ya Kitausug kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitausug kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |