Kitawe ni neno lenye maana zaidi ya moja. Kwa mfano "nyanya" lina maana ya bibi na lina maana ya tunda ambalo ni kiungo cha chakula. Neno "paa" lina maana ya sehemu ya juu ya nyumba na vilevile ni jina la mnyama fulani.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.