Kitemi
Kitemi (pia huitwa Kisonjo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Watemi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitemi imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitemi iko katika kundi la E40.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitemi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitemi
- lugha ya Kitemi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/soz
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kitemi)
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Nurse, Derek; Rottland, Franz. 1991/92. Sonjo: description, classification, history. Sprache und Geschichte in Afrika (SUGIA), 12/13, uk.171-289.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |