Kitemoq ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Watemoq. Idadi ya wasemaji wa Kitemoq haijulikani lakini ni wachache tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitemoq iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitemoq kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.