Kitetun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Watetun kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kitetun nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 400,000. Pia kuna wasemaji 63,500 nchini Timor ya Mashariki (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitetun iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitetun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.