Kitharu cha Kochila

(Elekezwa kutoka Kitharu ya Kochila)

Kitharu ya Kochila ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Watharu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitharu ya Kochila nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 258,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitharu ya Kochila iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitharu cha Kochila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.