Kithawa

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kithawa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathawa katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithawa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithawa kiko katika kundi la Kiyuin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.