Kithayore

lugha ya asili ya Australia

Kithayore ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wathayore katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kithayore 29 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithayore kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithayore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.