Kitidong
Kitidong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Watidong kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitidong nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 27,000. Nchini Malaysia kuna wasemaji 20,000 (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitidong iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitidong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitidong
- lugha ya Kitidong katika Glottolog
- lugha ya Kitidong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitidong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |