Kitirahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Watirahi. Idadi ya Watirahi imehesabiwa kuwa watu 5000 lakini 100 wao tu waliweza kuongea lugha yao ya asili. Wote wengine walibadilisha lugha na kutumia Kipashto, yaani lugha ya Kitirahi imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitirahi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitirahi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.