Kitobati (pia Kienggros au Kijotafa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watobati kwenye kisiwa cha Papua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitobati imehesabiwa kuwa watu 100. Lugha ya Kitobati imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitobati iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitobati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.