Kitofanma ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watofanma. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitofanma imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitofanma haihusiani na lugha nyingine, ila labda Kinamla.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitofanma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.