Open main menu

Kitomeo ni neno pamoja na taarifa zote juu yake zilizomo ndani ya kamusi. Kwa kawaida vitomeo vinapangwa kwa kufuata alfabeti ili iwe rahisi kupata kile kinachohitajika.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitomeo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.