Kitoussian-Kusini
Kitoussian-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Watoussian. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitoussian-Kusini imehesabiwa kuwa watu 19,500. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire; idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoussian-Kusini iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitoussian kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitoussian
- lugha ya Kitoussian katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/wib
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitoussian-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |