Kitumbuka
Kitumbuka ni lugha ya Kibantu nchini Malawi inayozungumzwa na Watumbuka. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitumbuka nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Pia kuna wasemaji 142,000 nchini Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitumbuka iko katika kundi la N20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitumbuka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitumbuka
- lugha ya Kitumbuka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tum
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitumbuka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |