Kituo cha Urithi wa Utamaduni cha Arusha
Kituo cha Urithi wa Utamaduni cha Arusha, kinapatikana Arusha, Tanzania. Ni mahali ambapo zaidi ya makabila 120 ya Tanzania yanaweza kutazamwa katika sehemu moja. Kituo hiki kinavutia kwa nakshi mbalimbali, vito, vitu vya kale, nguo na vitabu.
Kituo kimewakaribisha viongozi wafuatao wa Dunia:
- Mfalme Harald V wa Norwei, Malkia Sonja wa Norwei na Princess Märtha Louise wa Norwei
- Rais Thabo Mbeki na Zanele Mbeki wa Afrika Kusini
- Rais Bill Clinton wa Marekani
- Rais George W. Bush wa Marekani
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kituo cha Urithi wa Utamaduni cha Arusha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |