Kituo cha kujazia mafuta

Kituo cha petroli katika Uswidi
Kituo cha petroli katika Kamboja

Kituo cha kujazia mafuta (pia: kituo cha kujazia gesi (Marekani), kituo cha kutoa huduma ya petroli, gereji, baa ya gesi, sheli (Tanzania)) ni mahali ambapo panauzwa mafuta na vifaa vya kulainisha magari. Ni nishati ya kawaida tu kuuzwa kama petroli au mafuta ya dizeli.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituo cha kujazia mafuta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.