Kiturka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waturka. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiturka nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 37,000. Idadi ya wasemaji nchini Cote d'Ivoire haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiturka iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiturka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.