Kiusya, pia hutamkwa Tusia, Tusian, Toussian na pia inajulikana kama Wín, ni lugha ya Burkina Faso ambayo ina uhusiano usiojulikana na Lugha za Kiniger-Kongo. Huenda ikawa mojawapo ya lugha za Kigur.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitusya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.