Kiuab-Meto (pia Kiatoni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauab-Meto kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiuab-Meto imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuab-Meto iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuab-Meto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.