Kiuma'-Lasan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wauma' kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiuma'-Lasan nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 1500. Pia kuna wasemaji 1250 nchini Malaysia (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuma'-Lasan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuma'-Lasan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.