Kiumbindhamu

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kiumbindhamu kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waumbindhamu katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiumbindhamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiumbindhamu kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiumbindhamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.